





Hii
ni kampuni mpya mitindo ambayo imeanza kupamba moto toka mwishoni mwa
mwaka jana chini ya designer JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA pamoja na
SCHOLASTICA WA MAKEKE AFRIKA na kutwaa umaarufu wa kutosha kutokana na
kazi zake kutokea kuwakuna sana wapenzi wengi wa mitindo nchini
Tanzania na hata nje pia, Mitindo hio ya ki – makeke inazidi kuchanja
mbuga kwa spidi ya ajabu kwani ina mahadhi ya mwafrika halisi na cha
kushangaza zaidi ni kwamba makeke afrika koleksheni imezidi kuboresha
muonekano wake na kuwa wa mvuto zaidi na wamezidi kuboresha huduma kwa
wateja wao, hawa jamaa pia ndio waanzilishi wa mitindo ya ki – makeke na
show ya Rangi Rangi za Makeke(RRM) Fashion wikend ambayo imefanya
vizuri sana na kupokelewa vzuri na mashabiki wa mitindo Tanzania
Post a Comment