Mwulize swali Dk Slaa


 
Jumapili hii ya Septemba 22, 2013, Mubelwa Bandio atafanya mahojiano na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Dk Wilbrod Slaa aliyeko safarini nchini Marekani kwa sasa.

Ili mahojiano hayo yailenge na kuigusa jamii, unaombwa kuuliza swali au kutoa dukuduku kuhusu jambo ambalo unadhani Dk Slaa ndiye mtu sahihi wa kulitolea ufafanuzi.

Mubelwa atapita hapa mara kwa mara kukusanya maswali.

Mwisho wa kutuma maswali hayo ni  siku iyo hiyo ya Jumapili, saa mbili asubuhi (08:00 am EST) majira ya Mashariki ya Marekani ambayo ni saa tisa alasiri (03:00 pm) majira ya Afrika Mashariki.

Source: wavuti

Post a Comment

Previous Post Next Post