Sheikh
Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza
kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.
Wafusi
wa Sheikh Ponda wakiwa wakiwa mahakamani leo kusikiliza kesi ya
Kiongozi wao iliyokuwa imetajwa mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa
Morogoro.
Ulinzi Mkali ukiwa umeimarishwa Mahakamani leo wakati kesi hiyo ikiendelea
Picha na MATUKIO NA MICHAPO BLOG
Post a Comment