Ammy
Nando atayaleta macho ya Afrika kwa walau siku 10 Dar es Salaam pale
atakapofanya sherehe ya birthday yake mwezi ujao kwa kishindo.
Mshiriki huyo wa Big Brother Africa The Chase ataileta robo ya
washiriki wa The Chase Tanzania kumsindikiza kwenye party hiyo ya siku
10.

“I will be having a massive bday party week in Dar es salaam next month…the craziest in Africa,” Nando amesema
“Invited on the list; Brothers- Bimp, Angelo, Hakeem and Bolt,
Sisters- Annabell, Beverly and Fatima. Schedule for the whole event will
be out by next week. Invitations ONLY.”
The question is; will you be invited?
إرسال تعليق