Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Washiriki Mazishi ya Marehemu Askofu Dkt.Moses Kulola,aliyekuwa muasisi na Askofu Mkuu wa Kanisa la EAG(T)


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bibi.Elizabeth Kulola mjane wa Marehemu Askofu Dkt.Moses Kulola,aliyekuwa muasisi na Askofu Mkuu wa Kanisa la EAG(T) wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika viwanja vya kanisa huko Bugando Mwanza leo,Picha na Freddy Maro-IKULU

Post a Comment

Previous Post Next Post