
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimfariji Bibi.Elizabeth Kulola mjane wa Marehemu Askofu Dkt.Moses
Kulola,aliyekuwa muasisi na Askofu Mkuu wa Kanisa la EAG(T) wakati wa
mazishi yake yaliyofanyika katika viwanja vya kanisa huko Bugando Mwanza
leo,Picha na Freddy Maro-IKULU
إرسال تعليق