Simba yashinda kwa kishindo goli 6 bila dhidi ya JKT Mgambo Taifa leo


SIMBA SC imeonyesha ni tishio msimu huu baada tya kushinda mabao 6-0 dhidi ya Mgambo JKT katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, huku mshambuliaji Mrundi, Amisi Tambwe akifunga mabao manne peke yake.
Amisi Tambwe akishangilia moja ya mabao yake Taifa leo

Mabao mengine ya Simba leo yamefungwa na kinda mzalendo, Haroun Athumani Chanongo, huku wapinzani wao wa jadi, Yanga SC wakilazimishwa sare ya 1-1 na Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, wakati Uwanja wa Chamazi, Ashanti United imevuna pointi ya kwanza baada ya kulazimisha sare ya 1-1 na wenyeji Azam FC. HABARI ZAIDI ITAFUATIA.
Matokeo mengine 
Prisons FC 1 - 1 Young Africans Sports Club
COASTAL UNION 1-1 RHINO RANGERS
matokeo zaidi yaja..

Post a Comment

Previous Post Next Post