TASWIRA MBALIMBALI BAADA YA RAIS JAKAYA KIKWETE KUWASILI WASHINGTON, DC


 Kushoto ni mwambata wa jeshi anayemaliza muda wake Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Brigedia Jenerali Maganga katika picha ya pamoja na mwambata mpya Kanali Mutta
 Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Paul Mwafongo, Mfanyakazi wa Ubalozi Edward Taji, Mwambata anayemaliza muda wake, Brigedia Maganga, Mwambata mpya wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Kanali Mutta na Afisa Ubalozi Dkt Mkama katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Rais Dkt. Jakaya Kikwete Washington, DC.
 Kutoka kushoto ni Afisa Ubalozi Suleiman Saleh, Mhe Mbunge Abdulkarim Esmail Hassan Shah, Afisa Ubalozi Paul Mwafongo na Mhe. Mbunge James Daudi Lembeli.
Wahemiwa Wabunge katika picha ya pamoja na Wambata wa Jeshi

Post a Comment

أحدث أقدم