
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma, akimkabidhi Cheti
cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao huu wa
Sufianimafoto, Muhidin Sufiani, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo
yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza jana Septemba 17 na
kumalizika leo jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha mabloger
mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasilino Tanzania, Prof. John Nkoma,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu mafunzo ya siku mbili,mmiliki wa mtandao
wa Bongo Celeblate, Jeff Msangi, baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo
yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano, yaliyoanza jana Septemba 17 na
kumalizika leo jijini Dar es Salaam, huku yakiwashirikisha mabloger
mbalimbali kutoka mikoa tofauti ya nchini.

Othman Michuzi, akipokea cheti.

Shamim Mwasha, akipokea cheti.

Cathbert Kajuna, akipokea cheti...

Dj Choka, akipokea cheti.

Maxence Melo, kipokea cheti.

Sinta, akipokea cheti.

Mmiliki
wa Mtandao wa Sufianimafoto, Muhidin Sufiani (kulia) akiwa na mmiliki
wa Mtandao wa Bongo Celeblate, Jaff Msangi, wakati wa semina maalum kwa
wamiliki na waendeshaji wa mitandao pendwa Bloggers, iliyoandaliwa na
Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, iliyoanza jijini Dar es Salaam, jana ambayo
imemalizika rasmi leo.

Mmiliki wa Mtandao wa Mbeya Yetu, Joseph Mwaisango, akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hiyo.

Innocent Mungy wa TCRA, akizungumza wakati wa mafunzo hayo.....

Jestina george, akichangia mada

Jeff Msangi, akichangia mada.


Mtoa mada, Liz wachuka, akitoa mada...

Sehemu ya waliohudhuria semina hiyo...

Mafunzo yakiendelea

Mike Mushi, wa jamii forum, akitoa mada

Mabloger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa.

Mtoa mada, Dotto Kuhenga, akitoa mada

Mtoa mada, Pili, akitoa mada


picha ya pamoja baada ya mafunzo.
إرسال تعليق