Timu ya Copa Coca-Cola iliyoshiriki katika
michuano ya kimataifa ya Copa Coca-Cola nchini Afrika Kusini wiki iliyopita
ikiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam Jumatatu jioni. Timu hiyo ilitolewa katika hatua ya makundi na Zimbabwe
kuibuka mabingwa.
Afisa maendeleo wa Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania (TFF) Salum Madadi akiipokea timu ya vijana ya Copa Coca-Cola
iliyoshiriki katika michuano ya kimataifa ya Copa Coca-Cola nchini Afrika
Kusini wiki iliyopita. Timu hiyo ilitolewa katika hatua ya makundi na Zimbabwe
kuibuka mabingwa.
Zimbabwe
waliibuka mabingwa wa 2013 wa mashindano ya kimataifa ya COPA Coca-Cola kwa
kuwafunga Uganda 3-0 katika mchezo wa fainali iliyochezwa High Performance
Center, Pretoria, Afrika Kusini.
Match details in group that featured
Tanzanian team
No
|
Matches
|
Results
|
1
|
Tanzanite vs Chipolopolo (Zambia)
|
0-2
|
2
|
Tanzanite vs Dream Team (DRC, Congo,
Kazakstan)
|
2-0
|
3
|
Tanzanite vs African United (SA, Swaziland,
Rwanda, Lesotho
|
2-2
|
4
|
Tanzanite vs Phoros (Egypt)
|
0-1
|
|
140 players from 15 countries
participated
|
|
Post a Comment