Video:- Diamond ni mfano wa kuigwa - Ruge


Mkurugenzi wa Utafiti na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amemtaja Diamond Platnumz kama mfano wa kuigwa kwa vijana wanaohitaji mafanikio kwa njia wa kujituma.
Akizungumza na wakazi wa Dodoma leo kwenye semina ya fursa iliyofanyika katika ukumbi wa African Dreams, Ruge amesema Diamond alianza kutoka na kusikika kupitia Fiesta.
“Diamond tulimpa laki 1 ya maandalizi ya Fiesta, lakini akaona haitoshi akatafuta nyingine ikawa laki 3 akafanya maandalizi vizuri, akafanya Fiesta, baada ya Fiesta moja ikamtoa,” alisema.

Post a Comment

Previous Post Next Post