Loveness Diva aka The bawse baada ya kuachia single yake mpya ya ‘Jicho
la Huba’siku chache zilizopita iliyofanyika katika studio ya Fish crub
chini ya Producer Lamar.
Kwa sasa Diva anategemea kuachia kichupa cha Jicho la Huba akiwa
ameshirikiana na Stereo pamoja na Gosby kutoka B-Hits. Kama wewe ni
mshabiki wa Diva basi kuwa tayari kuangalia video ya jicho la huba soon.
إرسال تعليق