
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe akizungumza
kwenye kikao cha maamuzi ya pamoja na Vyama vingine juu ya kususia
mjadala wa Marerkebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Bungeni juzi
jioni.Kushoto ni Mbunge wa Mkanyageni,Hbib Mnyaa(CUF)na Mbunge wa
Kuteuliwa NCCR Mageuzi,James Mbatia.Picha na Fidelis Felix
إرسال تعليق