WAKAZI WA JIJI LA DAR WAKIENDELEA KUMIMINIKA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS JIONI HII KWA SHOW YA KILI MUSIC TOUR.


Jukwaa la Kili Music Tour kama linavyoonekana huku wakazi wa Jiji la Dar wakiendelea Kujitokeza Kwa Wingi katika Viwanja Vya Leaders Usiku huu.
Baadhi ya wakazi wa Jiji wakiwa tayari kwa Show ya Kili Music Tour inayoendelea Usiku Huu katika Viwanja vya Leaders

Post a Comment

Previous Post Next Post