Baadhi
ya wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na
warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao
Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha hivi karibuni na kupatiwa mafunzo juu
ya uzazi wa mpango
Warembo wakiwa mapokezi
Warembo wa Miss Tanzania wakifuatilia mafunzo juu ya uzazi wa mpango na wakati salama wa umri wa kuanza kupata mtoto.
Meneja wa Kanda ya KJaskazini na Kanda ya Ziwa
wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham Msaki akizungumza na warembo wanaoshiriki
shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 na kuwapatia elimu ya uzazi wa mpango
wakati warembo hao walepotembelea taasisi hiyo mjini Arusha hivi karibuni.

Mmoja wa washiriki Salsha Isdori akiuliza swali...
Meneja wa Kanda ya KJaskazini na Kanda ya Ziwa
wa Maria Stop Tanzania, Dk Abraham Msaki akiendelea kutoa darasa kwa warembo hao.
Mrembo
Prisca Paul akigawa mpira ya kiume 'Condom' kwa warembo wenzake. Mipira
hiyo pia hutumika katika njia za uzazi wa mpango pamoja na kujikinga na
magonjwa ya zinaa na Virusi vya ukimwi.
Picha ya pamoja kati ya warembo na wafanyakazi wa Maria Stop Kanda ya Kaskazini ilipigwa.

إرسال تعليق