Taswira
mbalimbali za mkutano wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa
alioufanya jimboni kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto
Kabwe jimboni Kigoma Kaskazini ambapo mkutano ulikosa watu kabisa na
kujikuta peke yake kama picha zinavyojionyesha.
Post a Comment