DK. SLAA APATA AIBU YA MWAKA KWENYE MKUTANO WA HADHARA KIGOMA KASKAZINI ... MKUTANO WADODA

 
 

Taswira mbalimbali za mkutano wa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa alioufanya jimboni kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe jimboni Kigoma Kaskazini ambapo mkutano ulikosa watu kabisa na kujikuta peke yake kama picha zinavyojionyesha.

Post a Comment

أحدث أقدم