New Track:- Young Dee Ft. Mwana FA & Ben Pol – Fununu

young dee
Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa young rapper wa Dar-Es-Salaam, Young Dee AKA Young Dar-Es-Salama akimshirkisha rapper legend hapa bongo Mwana FA na mkali wa R&B  Ben Pol katika ngoma iitwayo Fununu

Post a Comment

أحدث أقدم