Katika Picha zote zilizowekwa na zaidi ya watumiaji milioni 150
wa Instagram duniani mwaka huu (2013), picha ya mwimbaji wa Canada
Justin Bieber (19) mwenye followers milioni 12, akiwa na muigizaji Will
Smith ndiyo imekamata nafasi ya kwanza ‘most liked photo-2013’ kwa
kupata likes 1,496,070, picha hiyo iliwekwa miezi mine iliyopita.
The Siam Paragon shopping mall ya Bangkok, Thailand ndiyo ‘The most Instagrammed location of 2013′
Shopping mall ya Siam Paragon, iliyoko Bangkok, Thailand ndiyo
imekuwa ya kwanza katika ‘The Most-Instagrammed locations’, ikifuatiwa
na Time Square ya New York, Marekani.
Time Square, ya New York
#Love ndio imekuwa hashtag ya 2013 kwa Instagram.

Watumiaji wa Instagram hupost picha zipatazo milioni 55 kwa siku

Post a Comment