Rais Kikwete akitoa salamu katika maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Kenya

 
Picture
Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete (kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo. Kushoto ni Mwenyeji Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Watatu kushoto ni Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, Watano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia, Haile Mariam Desalegn, na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe. (picha: FREDDY MARO/Ikulu)
Video ya Rais Kikwete akitoa salamu imepachikwa hapo chini, baada ya picha...
Picture

Post a Comment

Previous Post Next Post