Rais Jakaya Kikwete na
mkewe Mama Salma Kikwete (kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya
Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini
Nairobi leo. Kushoto ni Mwenyeji Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Watatu
kushoto ni Naibu Rais wa Kenya, William Ruto, Watano Kushoto ni Waziri
Mkuu wa Ethiopia, Haile Mariam Desalegn, na Rais Pierre Nkurunzinza wa
Burundi na mkewe. (picha: FREDDY MARO/Ikulu)
Video ya Rais Kikwete akitoa salamu imepachikwa hapo chini, baada ya picha...

إرسال تعليق