Watu 11 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya basi leo huko Tanga

ta8
Watu 11 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Burudani walilokuwa wakisafiria kutoka Korogwe kwenda Dar es salaam kupinduka katika kijiji cha Taula Handeni huko Tanga. 
Habari hii imeripotiwa kama breaking news kupitia ukurasa wa facebook wa Radio One Stereo.RADIO1

Post a Comment

Previous Post Next Post