Mhe. Mbowe aeleza alivyoupata Uenyekiti CHADEMA na alivyo-recruit wanachama

 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe tarehe 09/12/2013 alishiriki kwenye kongamano la maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru lililoandaliwa na Baraza la Vijana la Chama hicho (BAVICHA) katika Ukumbi wa Hotel ya Landmark jijini Dar es Salaam. Na hii ni sehemu ya aliyoyasema katika hotuba yake aliyoitia katika kongamano hilo.

Post a Comment

Previous Post Next Post