Mwenyekiti
wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe tarehe 09/12/2013 alishiriki kwenye
kongamano la maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru lililoandaliwa na Baraza
la Vijana la Chama hicho (BAVICHA) katika Ukumbi wa Hotel ya Landmark
jijini Dar es Salaam. Na hii ni sehemu ya aliyoyasema katika hotuba yake
aliyoitia katika kongamano hilo.
إرسال تعليق