Baybe Mgaza akichangia kwenye Kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Mama katika Familia.
Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA kutoka Jamii Production.
Katika kipindi hiki, tunaendeleza mjadala juu ya WAJIBU WA MZAZI KATIKA FAMILIA na kwa wiki hii, tumejadili WAJIBU WA MAMA KATIKA FAMILIA.
Mbali na washiriki waliokuwa studio, pia tuliweza kusoma maoni toka kwa wasikilizaji wetu wanaoacha katika kurasa zetu za FACEBOOK.
Karibu uungane nasi

Muendeshaji wa kipindi cha FAMILIA Dada Georgina Lema akiongea nano
katika Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion kwenye maada ya
Majukumu ya Mama katika Familia
Mubelwa Bandio pia akichangia maada katika kipindi cha Familia kinachoendeshwa na Dada Georgina Lema.
Mgeni wetu rasmi kwenye kipindi cha FAMILIA walikua ni Mayor Mlima
إرسال تعليق