
Kaeni tayari kwa ajili ya ujio wa video mpya kutoka kwa Makomando,
na hii ni baada ya kufanya vizuri na ngoma yao ya awali ya Chapi Chapi
ambayo waliwashirikisha wasanii mahiri kutoka THT wenye sauti za kuvutia
Racho na Linah. Basi safari hii Makomando wanatarajia kuachia video yao
mpya ya wimbo uitwao Kiaba Baba ambao unafanya vizuri katika redio
stations mabli mbali za hapa nchini.
إرسال تعليق