Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu
hao.
Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea
Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa
tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema
iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita.
Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
Miili ya baadhi ya watu waliofunikwa na kifusi ikiwa inafanyiwa utaratibu wa kwenda kuhifadhiwa.
Huduma ya kwanza kwa majeruhi
kamati ya ulinzi na usalama ilikuwepo hadi usiku wa saa nne jana hadi shughuli ilipomalizika.
Greda ya manispaa ikijaribu kubeba gari lililoangukiwa na kifusi ili zoezi la uopoaji miiili liendelee kwa urahisi.
Zoezi likeindelea
Zoezi likiendelea
Moja ya miili iliyofukiwa
Greda likiendelea na juhudi za uokoaji
Miili ya marehemu waliofukiwa na kifusi ikitolewa katika udongo
baada ya kazi ya zaidi ya saa 5 ya kufukua eneo hilo kumalizika.
Kwa hisani ya Michuzi
إرسال تعليق