ARSENAL NA MAN CITY PATAMU KILELENI, ZAZIFUMUA FULHAM NA CARDIFF


Standing firm: Arsenal remain a single point ahead of second placed Manchester City
SANTI Cazorla amefunga mara mbili wakati Arsenal ikiifunga Fulham na kubaki kwenye usukani wa Premier League, huku Manchester City nayo ikiishindilia Cardiff 4-2 na kuandika rekodi ya kuvuka mabao 100 katika mshindano yote msimu huu.
High five: Alvaro Negredo (left) congratulates Edin Dzeko following the Bosnian striker's opener
Fulham waliwachanganya Gunners na kukaribia kufunga wakati shuti ya Steve Sidwell ilipookolewa kabla Cazorla kufunga mara mbili dakika ya 57 na 62 kuipa ushindi Arsenal nyumbani Emirates.

On target: Cazorla scored his second and third goals of the season
 Cazorla baada ya kutupia bao la kwanza
Valiant: Fulham held out well but the defeat sees them just a point above the drop zone
Cazorla akishangilia bao la pili
Impressed: Arsenal boss Arsene Wenger gives the thumbs up after seeing his team stay top of the pile
Wenger akiwapa dole wachezaji wake
Famous fan: Arsenal's record goalscorer Thierry Henry was in the stands to watch the action
Nyota wa zamani wa Arsenal Thierry Henry alikuwepo uwanjani
Memento: Wojciech Szczesny handed a fan his shirt after the game
Kipa wa Arsenal Szczesny akamzawadia shabiki jezi yake
Kwenye dimba la Etihad, Edin Dzeko alifunga kwa shuti ya karibu kuipa City bao la kuongoza dakika ya 14 likiwa la 100 katika mashindano yote msimu huu, ingawa Cardiff ililalamika kama mpira kwanza ulishikwa na David Silva.
Ahead: City striker Dzeko shoots Manuel Pellegrini's men into the lead against Cardiff after 13 minutes
Edin Dzeko akifunga moja kati ya mabao manne ya City
Flying high: Jesus Navas jumps over the corner flag at The Etihad after putting City back infront
Navas naye akishangilia goli lake kiaina
Craig Noone aliisawazishia Cardiff dakika ya 29, lakini Jesús Navas, Yaya Toure na Sergio Aguero waliimarisha uongoz wa mechi kabla Fraizer Campbell kuwafungia wageni bao la pili dakika mwisho.
Arsenal iko mbele ya Manchester City kwa pointi moja na zimekuwa zikifukuzana kwa kasi ya ajabu, ni wazi kuwa kuteleza kidogo tu kwa mmoja wao kunaweza kumgharimu kula vumbi hadi mwishoni mwa msimu.

Post a Comment

أحدث أقدم