Benki ya CRDB na UBONGO Media wazindua kipindi cha watoto cha”JJ Ubongo Kids” kitakachokuwa kikirushwa na TBC1 kila siku za Jumamosi

UbongoKids_Cinema
Watoto na wazazi wakifuatilia kwa umakini uzinduzi wa “JJ Ubongo Kids”  kwenye screen kubwa iliyopo kwenye ukumbi wa Century Cinemax.
UbongoKidsLaunch_JrJumboAndChildren
Watoto wa shule ya Academics, wakicheza kwa furaha na mmoja wa wahusika wa ‘JJ Ubongo Kids” ajulikanae kama “Juniour Jumbo”.
UbongoKidsLaunch_MamaNdegeAndChildren
Watoto wa shule ya Academics, wakicheza kwa furaha na mmoja wa wahusika wa ‘JJ Ubongo Kids” ajulikanae kwa jina la  mama ndege, wakati wa uzinduzi wa kipindi hicho.
Benki ya CRDB kwa kushirikiana na kampuni ya UBONGO Media, wameanzisha kipindi cha ” JJ Ubongo Kids” chenye nia ya kuboresha uelewa wa wanafunzi kwenye somo la hisabati. Kipindi hiki kitakuwa kikirushwa kupitia televisheni ya taifa TBC1 kila siku za  Jumamosi Saa 3 asubuhi na marudio Jumapili Saa 3 asubuhi TBC1  na kitakuwa kikitumia mfumo wa katuni.

Post a Comment

Previous Post Next Post