Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (OWM-TAMISEMI) inawatangazia watumishi wote kwamba uhamisho wa
kuomba hufanyika mara mbili kila mwaka yaani mwezi juni na mwezi
Disemba.
|
|||||||||||
Hivyo watumishi wote walioomba uhamisho kwa mwezi
Disemba 2013 wa kuhama na kuhamia katika Mamlaka mbalimbali za Serikali
za Mitaa wanatangaziwa kuwa uhamisho umekamilika na barua zao zimetumwa
kwa waajiri wao.
|
|||||||||||
Aidha orodha ya watumishi walioomba kuhama na kuhamia imegawanyika katika makundi matatu tofauti kama ifuatavyo:-
|
|||||||||||
• | Watumishi waliokidhi vigezo vya kupata vibali vya uhamisho. | ||||||||||
• | Watumishi waliohama kwa mwezi novemba 2013 kwa kupata vibali maalum kutokana na sababu mbalimbali. | ||||||||||
• | Watumishi ambao hawakukidhi vigezo vya kupata uhamisho.
|
Post a Comment