Music Industry ya Tanzania bado iko
kwenye “Growing phase” things are not balanced yet because of Matatizo
fulani sugu ambayo mwisho wake unakuja kutokana na mabadiliko ya
Teknolojia na matumizi yake.Kama nchi nyingine na kama sector zingine za
kibiashara tutapitia hizi phases mpaka vitu vitakaa sawa.Mziki umekuwa
mgumu na ndio unalipa zaidi hii ni moja ya changamoto na mafanikio
yake.Wale ambao wameanza hii safari siku nyingi,msikate tamaa huu ndio
muda wa kujipanga upya na kucapitalize. Kama we ni mfanya biashara
unayependa kuinvest in long term business,the time is now! Ngoma bado
mbichi hii,anza leo #ThinkTank
CPWAA (@Cpwaa) anasema kuwa Music Industry ya Tanzania bado iko kwenye “GROWING PHASE” Soma hapa story kamili
Hisia
0
Tags
ENTERTAINMENT
Post a Comment