
Shosteez
ni kundi linalomilikiwa na Producer Lamar wa Fish Club,ambalo January
22 wameanza kushoot wimbo wao mpya ambao bado hata audio yake haujatoka
walioupa jina la Tonight waliyomshirikisha Mkali kutoka Tanzania
Ay,millardayo.com inakupa nafasi ya kuwa mmoja kati ya watu wa mwanzo
kushuhudia baadhi ya picha za video hiyo.Kundi la Shosteez lina jumla ya kina dada watatu ambao ni Salma,Nuru na Meninah,video hii Director ni Lamar na inatengenezwa chini ya kampuni iitwayo Hefemi Studio.hizi ni baadhi ya picha za video hiyo.








Post a Comment