Hiki ndicho kitakachoonekana kwenye video mpya ya Shosteez waliyomshirikisha Ay.

DSC_0211


DSC_0199Shosteez ni kundi linalomilikiwa na Producer Lamar wa Fish Club,ambalo January 22 wameanza kushoot wimbo wao mpya ambao bado hata audio yake haujatoka walioupa jina la Tonight waliyomshirikisha Mkali kutoka Tanzania Ay,millardayo.com inakupa nafasi ya kuwa mmoja kati ya watu wa mwanzo kushuhudia baadhi ya picha za video hiyo.
Kundi la Shosteez lina jumla ya kina dada watatu ambao ni Salma,Nuru na Meninah,video hii Director ni Lamar na inatengenezwa chini ya kampuni iitwayo Hefemi Studio.hizi ni baadhi ya picha za video hiyo.
DSC_0243
DSC_0150
DSC_0151
DSC_0153
DSC_0155
DSC_0160
DSC_0188
DSC_0180

U

Post a Comment

أحدث أقدم