Zaha,
ambaye alijiunga na United akitokea Crystal Palace kwa uhamisho wa 15
million-pound mwaka jana, amefanyiwa vipimo vya afya na timu hiyo
inayofundishwa na mshambuliaji wa zamani wa United Ole Gunnar Solskjaer.
Gazeti
hilo limeandika kuwa mchezaji huyo ameonekana akiingia kwenye hospitali
huko Cardiff kwa ajili ya kufanyiwa vipimo. anategemewa kwamba ataweza
kuanza katika mchezo wake wa kwanza na Cardiff dhidi ya Norwich City
mnamo Feb. 1.
إرسال تعليق