Singo ya Shakira na Rihanna muda wowote kuanzia juzi inaweza kuwa mtaani na kava yake naonekana kuwa balaa.
Hii ndio kava ya singo ya "Can't Remember to Forget You" Kava hii iliachiwa na Rihanna Instagram Alhamisi, Januari 9 mwaka huu.
Katika maelezo fulani kuhusu kazi yao hiyo ya pamoja kwenye Glamour Shakira amekiri kwamba Rihanna ni bomba kuliko binti yoyote uile kwenye mvuto wa kimapenzi duniani hapa.
Shakira mama wa mtoto Milan mwenye miezi 12 sasa anasema kwamba hakurtarajia kufanyakazi na Rihanna na kwamba video yao ipo tayari na kuwa inasisimua sana.

إرسال تعليق