 |
| Mabondia
Robinson Msimbe kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na
Ayubu Ula wakati wa mpambano wao uliofanyika Kiluvya madukani katika
ukumbi wa Shimbikati Ula alishinda kwa point mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
 |
Msanii
wa mziki wa radha Selemani Jabir 'Msagasumu' akitoa burudani katika
ukumbi wa shimbikati kiluvya maduka mawili kabla ya mpambano wa masumbwi
uliofanyika katika ukumbi huo jana |
 |
| Msanii wa mziki wa radha Selemani Jabir 'Msagasumu'
akitoa burudani katika ukumbi wa shimbikati kiluvya maduka mawili kabla
ya mpambano wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi huo jana kulia ni mmoja ya nmashabiki wake |
 |
| Shabiki
ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona wasanii wa kanga moja wakifanya
vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa stail ya aina yake |
 |
| Shabiki ambaye akuweza kujizuia baada ya kuona wasanii wa
kanga moja wakifanya vitu vyao na kuamua kwenda kutunza kwa stail ya
aina yake kama anavyo onekana katika picha |
 |
| SHABIKI AKIMTUNZA MNERNGUAJI WA KANGA MOJA |
 |
| MNENGUAJI WA KUNDI LA KANGA MOJA AKICHEZA KWA STAIL YA KIPEKEE BAADA YA KUAMUA KUCHEZA NA CHUPA |
 |
| KANGA MOJA WAKIFANYA VITU VYAO |
 |
| MASHABIKI WAKIMSHANGILIA BONDIA WAO ALIYESHINDA |
 |
| KAZI YA KANGA MOJA IKIENDELEA KULINDIMA KATIKA UKUMBI WA SHIMBI KATI KABLA MPAMBANO WA MASUMBWI |
 |
| KIKAZI ZAIDI KANGA MOJA
|
MPAMBANO WA MASUMBWI UKIENDELEA
Post a Comment