Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza
siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena
siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale
kinondoni opposite na mango garden nikawakuta wengi sana wanagonga
kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi nimuulize bar maid akaniambia
wanafanya sherehe ya rafk yao!!
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu
إرسال تعليق