
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CHADEMA Ndg. Samwel Shamy amefanikiwa kufanyisha
harambee ya kukusanya vifaa vya elimu kwa wanafunzi wasio jiweza. Ngd
Shamy alifanikiwa kukusanya Computer kumi (10), vitabu mia mbili (200),
na madaftari alfu moja mia nane (1800). Pichani Ndg. Shamy akiongea na
waandihi wa habari na kukabidhi vifaa hivyo kwa mkuu wa Wilaya Meru Ndg.
Munase.


Post a Comment