Vito Mannone ameibuka kuwa shujaa mkubwa
mbele ya maelfu ya mashabiki waliokuwa Old Traford baada ya kupangua
michomo miwili ya penaiti.
Manchester United na Sunderland wamejikuta wakiamuliwa na matuta baada ya kulingana magoli 3 - 3.
Sunderland wanaelekea Wembley baada ya kuweka nyavuni mikwaju 2 dhidi ya 1 wa Manchester united.
Craig Gardner - Sun - Alipiga nje Danny Welbeck - Man - alipiga nje Fletcher - Sun - Degea alidaka Flecher - Man - alipata Alonso - sun - alipata Januzaj - Man - Mannone alidaka Ki - Sun - alipata Phil Jones - Man - alipiga nje Adam Johnson - Sun - Degea alidaka Rafael - Man - Mannone alidaka
Post a Comment