Sunderland yaitoa Manchester United nusu fainali Capital One Cup


Vito Mannone ameibuka kuwa shujaa mkubwa mbele ya maelfu ya mashabiki waliokuwa Old Traford baada ya kupangua michomo miwili ya penaiti.
Manchester United na Sunderland wamejikuta wakiamuliwa na matuta baada ya kulingana magoli 3 - 3.
Sunderland wanaelekea Wembley baada ya kuweka nyavuni mikwaju 2 dhidi ya 1 wa Manchester united.

Waliopiga mikwaju ya penaiti
Craig Gardner - Sun - Alipiga nje Danny Welbeck - Man - alipiga nje Fletcher - Sun - Degea alidaka Flecher - Man - alipata Alonso  - sun - alipata Januzaj - Man - Mannone alidaka Ki - Sun - alipata Phil Jones - Man - alipiga nje Adam Johnson - Sun - Degea alidaka Rafael - Man - Mannone alidaka

Post a Comment

أحدث أقدم