USAJILI DIRISHA DOGO, WAPYA NA WALIOTEMWA KLABU ZA ENGLAND HAWA HAPA

USAJILI wa dirisha dogo unazidi kupamba moto na hii ni orodha ya wachezaji waliotemwa na kusajiliwa na klabu za England hadi sasa.

Ameondoka: Kevin de Bruyne ameondoka Chelsea na kujiunga na Wolfsburg ya Ujerumani kwa Pauni Milioni 17
ARSENAL

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOONDOKA: Chuba Akpom (Brentford, mkopo) 

ASTON VILLA

WALIOINGIA: Grant Holt (Wigan, mkopo)

WALIOONDOKA: Stephen Ireland (Stoke, bure) 

CARDIFF

WALIOINGIA: Magnus Wolff Eikrem (Heerenveen, Pauni Milioni 2), Mats Moller Daehli (Molde), Jo Inge Berget (Molde)

WALIOONDOKA: Rudy Gestede (Blackburn), Filip Kiss (Ross County, mkopo), Nicky Maynard (Wigan, mkopo) 

CHELSEA

WALIOINGIA: Bertrand Traore (Association Jeunes Espoirs De Bobo-Dioulasso), Nemanja Matic (Benfica, Pauni Milioni 21)

WALIOONDOKA: Bertrand Traore (Vitesse Arnhem, mkopo), Kevin de Bruyne (Wolfsburg, Pauni Milioni 17), Josh McEachran (Wigan, mkopo) 

CRYSTAL PALACE

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOONDOKA: Jason Banton (Plymouth, bure), Jimmy Kebe (Leeds, mkopo) 
EVERTON

WALIOINGIA: Aiden McGeady (Spartak Moscow)

WALIOONDOKA: Nikica Jelavic (Hull bure) 

FULHAM

WALIOINGIA: Clint Dempsey (Seattle Sounders, mkopo)

WALIOONDOKA: Bryan Ruiz (PSV, mkopo) 

HULL

WALIOINGIA: Nikica Jelavic (Everton)

WALIOTOKA: Tom Cairney (Blackburn, Pauni 500,000), Conor Townsend (Carlisle, mkopo), Eldin Jakupovic (Leyton Orient, mkopo), Cameron Stewart (Leeds, mkopo) 

LIVERPOOL

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOONDOKA:Adam Morgan (Yeovil, bure) 

MANCHESTER CITY

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOONDOKA: John Guidetti (Stoke, mkopo) 

MANCHESTER UNITED

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOINGIA: Hakuna 

NEWCASTLE

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOTOKA: Jonas Gutierrez (Norwich, mkopo) 
NORWICH

WALIOINGIA: Jonas Gutierrez (Newcastle, mkopo)

WALIOTOKA: Hakuna 

SOUTHAMPTON  

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOTOKA: Hakuna
STOKE

WALIOINGIA: John Guidetti (Man City, mkopo), Stephen Ireland (Aston Villa, bure)

WALIOTOKA: Brek Shea (Barnsley, mkopo), Jamie Ness (Leyton Orient, mkopo) 

SUNDERLAND

WALIOINGIA: Marcos Alonso (Fiorentina, mkopo)

Santiago Vergini (Estudiantes, mkopo)

WALIOTOKA: Mikael Mandron (Fleetwood, mkopo), Ji Dong-won (Ausburg, bure) 

SWANSEA

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOTOKA: Alan Tate (Aberdeen, mkopo) 

TOTTENHAM 

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOTOKA: Jermain Defoe (Toronto, Pauni Milioni 6), Simon Dawkins (Derby), Shaquile Coulthirst (Leyton Orient, mkopo), Jon Obika (Brighton, mkopo) 

WEST BROMWICH ALBION

WALIOINGIA: Hakuna

WALIOTOKA: Lee Camp (Bournemouth, bure) 

WEST HAM

WALIOINGIA: Roger Johnson (Wolves, mkopo)

WALIOTOKA: Hakuna

Post a Comment

Previous Post Next Post