Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtambulisha mgombea wa
Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki CCM Mahamoud Thabit Kombo kwenye
uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo hilo
uliofanyika leo 22 Januari 2014 katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe
samaki.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Ilani Katiba na
Sera ya CCM mgombea wa Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki CCM Mahamoud
Thabit Kombo kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi
wa Jimbo hilo uliofanyika leo 22 Januari 2014 katika uwanja wa Tawi la
CCM Kiembe samaki.
Wananchi
na Wanachama wa CCM Zanzibar wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, alipokua akihutubia kwenye uzinduzi wa kampeni za
uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo hilo uliofanyika jana jioni 22
Januari 2014 katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.
Mfalme
wa Taarab Mzee Yusssuf na Mgombea Uwakilishi jimbo la KiembeSamaki CCM
Mahamoud Thabit kombo wakitoa burudani kwenye uzinduzi wa kampeni za
uchaguzi mdogo wa Uwakilishi Jimbo hilo uliofanyika jana jioni 22
Januari 2014 katika uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akihutubia wananchi na
wanachama wa CCM kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa
Uwakilishi wa Jimbo hilo uliofanyika jana jioni 22 Januari 2014 katika
uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi na
wanachama wa CCM kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa
Uwakilishi wa Jimbo hilo uliofanyika jana jioni 22 Januari 2014 katika
uwanja wa Tawi la CCM Kiembe samaki.(Picha na OMR)
إرسال تعليق