Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma tayari kuongoza kikao cha NEC kilichoanza jioni ya jana mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma mara tu alipowasili kwenye uwanja wa ndege mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia ngoma ya asili kutoka kikundi cha ngoma cha mkoa wa Dodoma wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma,Mwenyekiti wa CCM Taifa