MAMLKAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA (TCAA) NA MAMLAKA YAUSAFIRI WA ANGA NCHINI CHINA (CAAC) WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA NDEGE ZINAZOTENGENEZWA CHINA KUTUA KATIKA ANGA LA TANZANIA

01Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  na   Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian  wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa  ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha   Mamlaka hiyo hapa nchini  kuweza  kujenga  kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China. Kutoka Kushoto ni Mwanashereia wa TCAA  Vallery Chamulungu na  Kulia ni  Executive Vice President of  Aviation Industry Corporation of China (AVIC)   Mr. Geng Runguang. 02.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  na   Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian   (kulia)  wakikabidhiana hati  za mkataba wa  ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa  katika Makao makuu ya ofisi hiyo  jijinia Dar es Salaam. 04Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam  (hawapo pichani) juu mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Pia Mkataba huo  utawawezesha   wataalam  wa TCAA uwezo wa  kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China. Kulia ni  Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian.  05Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China (CAAC)Li Jian, akimabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi   wakati waliposaini mkataba wa ushirikiano  wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa   katika Makao makuu ya ofisi hiyo  jijinia Dar es Salaam. 06aadhi ya wajumbe Kutoka nchini China waliohudhuria  hafla ya utiliwaji  mkataba wa ushirikiano  wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha  wataalam wa TCAA kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China.

Post a Comment

Previous Post Next Post