Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi
na Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China
(CAAC)Li Jian wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa ushirikiano
wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini
China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo
uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha Mamlaka hiyo hapa
nchini kuweza kujenga kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege
hizo kutoka China. Kutoka Kushoto ni Mwanashereia wa TCAA Vallery
Chamulungu na Kulia ni Executive Vice President of Aviation Industry
Corporation of China (AVIC) Mr. Geng Runguang.
.Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi
na Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China
(CAAC)Li Jian (kulia) wakikabidhiana hati za mkataba wa ushirikiano
wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini
China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo
uliosainiwa katika Makao makuu ya ofisi hiyo jijinia Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi
akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani)
juu mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege
zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya
Tanzania. Pia Mkataba huo utawawezesha wataalam wa TCAA uwezo wa
kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China. Kulia ni Mkurugenzi
Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian,
akimabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi wakati waliposaini mkataba wa
ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege
zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya
Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa katika Makao makuu ya ofisi hiyo
jijinia Dar es Salaam.
aadhi
ya wajumbe Kutoka nchini China waliohudhuria hafla ya utiliwaji
mkataba wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege
zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya
Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha
wataalam wa TCAA kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China.
Viongozi
wa kuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na Viongozi wa
Mamlaka ya Usafiri wa Anga China (CAAC) wakiwa katika Picha ya Pomoja
baada ya kusaini mkataba wa Ushirikiano wa maswala ya usafiri wa anga
ambapo ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutuoa katika
anga la Tanzania .
إرسال تعليق