Baada
 ya kutolewa video yake ya Nimevurugwa kwenye tuzo za Ktma 2013/2014 
Snura ame-amplify taarifa mpya hizi zinahusu kile ambacho kilionekana 
kusababisha video yake kufungiwa na kutolewa kwenye mashindao ya 
Kilimanjaro Tanzania Music Awards.
 
Snura
 amesema>>’Snura mpya ataonekana kwenye video ya Ushaharibu na 
itapendwa sana video hio,nimekatika kidogo ila hakuna mauno kama kwenye 
Nimevurugwa’.
Pia Snura kaomba radhi kwa shabiki watakaokosa  mauno yake kwenye 
video zijazo na kusema atakayetaka kuona mauno hayo atayakuta kwenye 
show anazofanya.
Source:hyperhk.blogspot.com
إرسال تعليق