Harusi ya kimila ya Peter Okoye wa P-Square iliyofanyika jana na kuoneshwa Live (DSTV) - Picha

Jana (march 22) ilikuwa big day kwa star wa kundi la P-Square Paul Okoye na mpenzi wake wa miaka kumi Anita Isama, waliofanikisha harusi yao ya kimila iliyofanyika katika mji wa Port Harcourt, Nigeria na kuhudhuriwa na ma-star mbalimbali.
Paul-2 Bwana na bibi harusi: Paul Okoye na Anita
Baadhi ya watu maarufu waliohudhuria ni pamoja na Pacha wa bwana harusi Peter Okoye na mke wake, Omotola Jalade, Ini Edo, M.I., Banky W, D’banj, Ice Prince, Jude Okoye, Iyanya, Naeto C, Banky W na wengine.
Paul-1 Paul na Anita kabla hawajabadili mavazi
Licha ya harusi hiyo kuhudhuriwa na watu wengi maarufu lakini pia ilioneshwa live na kituo cha runinga cha HIP TV ambacho kinaonekana kupitia DSTV.
Paul-3
Hizi ni baadhi ya picha za harusi hiyo
Paul-Omotola Omotola
Paul-4
Paul-5
Peter Okoye na mwanaye
Paul-6
Paul-7
Paul-8
Paul-9
Paul-10
Paul-11
Paul-12
Paul-Banky W
Banky W
Paul-Darey na M.I Darey na M.I
Paul-Ice Prince Ice Prince
Paul-Iyanya, Naeto C Iyanya, Naeto C
Paul-Jude Jude Okoye

Post a Comment

Previous Post Next Post