
Ikiwa
ni wiki kadhaa tangu itoke video ya Msambinungwa ya Tunda Man ambayo
ilisemekana imefanyika nje ya nchi,miongoni mwa watu walioikamilisha
hiyo video ambaye pia ni mmiliki wa studio iliyopo Sinza ameibuka na
kusema Tunda amekimbia na deni lake,Soud Brown ana-amplify taarifa hizi.
Bonyeza play kusikiliza.
Post a Comment