Watu
walikuwa ni wengi sana kiukweli kama uonavyo ndugu msomaji hakika
wakazi wa mtwara walikuwa na kiu ya kupata Timu itakayocheza Ligi kuu na
mungu kaipokea dua yao Kazi ni kwao sasa kuhakikisha Timu hiyo inacheza
kupitia uwanja wao wa nyumbani kwa kuukarabati ili uwe na viwango vya
kucheza mechi za ligi kuu ilikuwapa raha wakazi wa Mtwara
Post a Comment