Gossip
cop Soudy Brown wa U heard ya XXL Clouds FM alizipata stori kutoka kwa
shuhuda kwamba jana March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy
Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria
Kimani ambae amewahi kuingia kwenye headlines kwamba ana uhusiano wa
kimapenzi na Diamond.
Shuhuda anasema tatizo lilikuja baada ya video hiyo kusambaa na kumbe
Diamond hakumuaga mpenzi wake Wema kwamba angekua studio na Victoria,
hapo ndio Wema anadaiwa kwenda na kufanya fujo studio.

Bonyeza play hapa chini upate kisa kizima
إرسال تعليق